Elinewinga Family
img img

1.Elingaya

Elingaya wa Ndaashuka wa Makyenja - Elingaya Ndaashuka alizaliwa mnamo mwaka 1872 na kufariki mnamo mwaka 1959. Elingaya alikuwa na wanawake sita nao ni Maroua, Kaaney, Eshiwakwe, Malaseko I &2. Elingaya alijaliwa watoto kumi (10) wa kiume na watoto kumi na nne (14) wa kike. Elingaya alishiriki vita mbalimbali ikiwepo vita ya wamachame na wakibosho. Mke wake Maroua ni mateka wa vita vya kibosho, watu waliotekwa vitani waligawanywa kwa utaratibu na maelekezo ya viongozi wa Jeshi. Kuna Wakati Elingaya alilala juu ya paa kuwalinda wadogo zake wasitekwe nyara. . .

2.Ujio wa Kanisa

Wamisionari walipokuja kwa mara ya kwanza walipokelewa vizuri na Elingaya na wenzake mfano nzuri wa kulionyesha hili ni pamoja na watu kukubali kubatizwa na kuwa wakristo na hata wengine kufikia kufanya maamuzi magumu kama alivyofanya Vangaeli kuacha mke ili akubalike kwenye utumishi wa kanisa. Wamishionary walifikia Machame na kuweka makao hapo walikua wanakwenda maeneo haya mengine kipinda cha ibada na baada ya ibada kurejea Machame, hiki ni kipindi cha kuanzia mwaka 1894 walipofika Nkoaringo

Familia ya Eliavinga Imbianndumi

Katika mapokezi haya wakati wana anza huduma Ng'uni walipata shida kumpata mtu mwenye sifa za kuwa mzee wa kanisa maana wengi walikuwa na mke zaidi ya mmoja na kanisa haliruhusu hicho kitu. Ndipo Vangaeli akakubali kuachia mke mmoja katika wawili aliokuwa nao mmoja kampa ndugu yake naye kabakia na mke mmoja. Vangaeli alipewa uzee na baadae mzee kiongozi wa usharika.

Huyu Barnaba Ngalami ni Baba yake na Bi Tabitha .Barnaba Ngalami alikuwa mfugaji mahiri sana kipindi hicho na mifugo ilinona sana. .

Mzee Imbianndumi Ndashuka alimaliza safari yake mwaka 1984 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .

Ndugu zake Imbianndumi.

Eliapenda

,

Ndeshifwaya,

Oberilini,

Ezekia,

Shanshaeli,

Furaeli

,

Ndenashikwa,

Apaaisaria

,Kyekue,

Eliona,

na wengine.

Familia ya Taramaeli Imbianndumi

ELINGAYA- 1.mama Maroua

-Imbianndumi

-Masika

-Oshoseny

-Manswee….Mungomae aliolewa

-Ndeanshikarisa

2. Kaaney

3.Eshiwakwe

-Eliapenda (alikuja na mama

-Ndeshifwaya( “ )

-Oberilin

- Ezekia

-Shanshaeli (mke wa Shileruywa).

4. Malaseko 1 – Furaeli

-Ndenashikwa

5.Malaseko 2. Elizabeth--

Mama Traeli

-Apaaisaria

-Kyekue

-Eliona

Watoto wa Elingaya (Ndugu zake Imbianndumi).

---Imbianndumi -Masika -Oshoseny -Manswee….Mungomae aliolewa -Ndeanshikarisa Wamisionary walipokuja Ng'uni walipokelewa vizuri sana , kulikuwa hakuna mtu mwenye sifa ya kuwa mzee wa kanisa ndipo Vangaeli akapewa lakini baada ya kuachia mke mmoja na kumpa ndugu yake yeye akabakia na mke mmoja badala ya wawili aliokuwa nao awali. Vangaeli akawa mzee kiongozi wa Ng'uni .

FAMILIA YA IMBIANNDUMI ELINGAYA NDASHUKA

Masika Elingaya

Masika Elingaya Ndashuka wa Makyenja alizaliwa --- ni mtoto wa -- aliishi Nguni Matikoni. Watoto wake ni Ahimidiwe ... .

Masika Family

Oshoseny Elingaya Ndashuka

Oshoseny Elingaya Ndashuka ni mtoto wa --- kwa Elingaya kati ya watoto 21 wa Elingaya .Imbianndumi na Oshoseny mama yao ni Maroua, Oshoseny alizaliwa----19-- huko Matikoni Ng'uni Watoto wake ni Sifaeli....

  • 1916-1919 -Alikwenda Vitani
  • 1920- Alioa
  • 1925- Alibatizwa kule Masama
  • 1937-Alichaguliwa kuwa Nshili

1960-Alistaafu Uongozi

Manswee

Huyu ni dada yake na Imbiandumi. Manswee aliolewa kule Kaango- Mungoamae, watoto wa Manswee ni ..... Mtoto wake mmoja aliolewa kwa Kira kule Mungoamae

Elingaya Family

Ndeashikarisa

Ndeashikarisa ni mtoto wa Elingaya kwa mama Maroua, huyu ni mama mmoja na Imbianndumi. Huyu aliishi ---- wat .

Ndeashikarisa Family

Mchungaji Oberilini

Mchg.Oberilini Elingaya Ndashuka ni mtoto wa ... kwa mzee Elingaya Ndashuka. Mama yake Oberilini ni Eshiwakwe. Huyu Eshiwakwe alikuja na watoto wengine ambao sio wa Elingaya mmoja wapo akiwa ni Eliapenda.Mchungaji Oberilini ndie mtoto pekee wa Elingaya aliyebaki hata sasa wengine wote walishafariki.

Oberilini

Ezekia

Ezekia ni mtoto wa-... wa Babu Elingaya. Elingaya na Oberilini mama yao ni mmoja- Eshiwakwe. Ezekia aliishi Ng'uni Matikoni , watoto wake ni......

Ezekia

Ndashuka Family

.UJIO WA WAMISSIONARY NG'UNI

VANGAELI AKUBALI KUACHA MKE ILI AWE MZEE WA KANISA.

Vangaeli ni Mtoto wa Ndashuka ni mdogo wake Elingaya. Wamisionary walipokuja Ng'uni walipokelewa vizuri sana , kulikuwa hakuna mtu mwenye sifa ya kuwa mzee wa kanisa ndipo Vangaeli aka acha mke mmoja na kumpa ndugu yake yeye akabakia na mke mmoja badala ya wawili aliokuwa nao awali ili apate sifa za kuwa mzee wa kanisa, Vangaeli akawa mzee kiongozi wa kanisa la Ng'uni .

.

FAMILIA YAA IMBIANNDUMI ELINGAYA NDASHUKA

Eliavinga Imbianndumi Ndashuka
-Eliavinga
-Taramaeli -Hannah -Barnaba -Nicholaus -Anaeli -Taramaeli -Ndenarumishwa -Isaya Familia

Imbianndumi Family

Taramaeli
-Eliavinga
-Taramaeli -Hannah -Barnaba -Nicholaus -Anaeli -Taramaeli -Ndenarumishwa -Isaya Familia

Imbianndumi Ndashuka Family

Eliavinga - Anaeli

Tarama

Hannah

Barnabas Niko

Imbianndumi Elingaya