Imbianndumi Elingaya Ndashuka. Imbianndumi Elingaya Ndashuka alizaliwa mwaka 1901 huko Matikoni kwenye Familia ya Mzee Elingaya Ndaashuka akiwa mtoto wa kwanza kabisa wa Elngaya. Huyu Mzee Elingaya alikuwa na wanawake sita na mke mkubwa ndiye mama yake na Imbiandumi. Mama yake Imbiandumi aliitwa 'Maroua'. Huyu Bibi Maroua alichukuliwa huko Kibosho wakati wa vita vya wakibosho na wamachame. Watu kadhaa walichuku kama mateka wakati wa vita, hata shangazi yake imbianndumi (mama Boyi) alichukuliwa na kupelekwa huko Arusha. Watoto wengine wa Maroua ni Masika(Baba yake Ahimidiwe), Oshoseny(Babu yake Manase), Manswee ma Ndeanshikarisa. .

Mzee Imbiandumi Elingaya Ndaashuka alifariki mwaka 1988. Watoto wa Imbianndumi ni Eliavinga, Taramaeli,Hannah,Barnaba,Anaeli,Immanueli,Ndenarumishwa na Isaya

Ndugu zake Imbianndumi.

Eliapenda

,

Ndeshifwaya,

Oberilini,

Ezekia,

Shanshaeli,

Furaeli

,

Ndenashikwa,

Apaaisaria

,Kyekue,

Eliona,

na wengine.

Na kweli tumeona Bwana alimfanya kuwa mshindi kwelikweli,Haleluya! (Zab.60:12) .

Mzee Elinewinga Menda Nnyaka alimaliza safari yake mwaka 1984 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .

Watoto wa Salema
Elianshitaua,Nsero,Ndesamburo

Ndugu zake Imbianndumi.

Eliapenda

,

Ndeshifwaya,

Oberilini,

Ezekia,

Shanshaeli,

Furaeli

,

Ndenashikwa,

Apaaisaria

,Kyekue,

Eliona,

na wengine.

Ndugu zake Imbianndumi.

Eliapenda

,

Ndeshifwaya,

Oberilini,

Ezekia,

Shanshaeli,

Furaeli

,

Ndenashikwa,

Apaaisaria

,Kyekue,

Eliona,

na wengine.

ELINGAYA-

1. Maroua ---Imbianndumi -Masika -Oshoseny -Manswee….Mungomae aliolewa -Ndeanshikarisa

2. Kaaney

3.Eshiwakwe -Eliapenda (alikuja na mama ) -Ndeshifwaya( “ ) -Oberilin - Ezekia -Shanshaeli (mke wa Shileruywa).

4. Malaseko 1 – Furaeli -Ndenashikwa

5.Malaseko 2. Elizabeth-- Mama Traeli -Apaaisaria -Kyekue -Eliona

Watoto wa Elingaya .

---Imbianndumi -Masika -Oshoseny -Manswee….Mungomae aliolewa -Ndeanshikarisa Wamisionary walipokuja Ng'uni walipokelewa vizuri sana , kulikuwa hakuna mtu mwenye sifa ya kuwa mzee wa kanisa ndipo Vangaeli akapewa lakini baada ya kuachia mke mmoja na kumpa ndugu yake yeye akabakia na mke mmoja badala ya wawili aliokuwa nao awali. Vangaeli akawa mzee kiongozi wa Ng'uni ).

Nsero

Watoto wa Tabitha Barnaba ni Eliavinga,Taramaeli, Hannah, Barnaba, Anaeli ,Nicolaus,Immanueli,Ndenarumishwa na Isaya .

Baba wa Bibi

Elinewinga Nnyaka

Mwaka 1916 alikwenda vitani (vita kuu ya kwanza ya dunia 1914-1919). Wakati wanarudi toka vitani walitembea toka (Posta) Dar es Salaam mpaka nyumbani Lukani , safari yao walianza watu 7 kwenda Moshi ni wawili tu walifika katika hiyo safari.Aliporudi kutoka vitani alioa Bibi Elikyesia Nsero mnamo 1920 .

  • 1916-1919 -Alikwenda Vitani
  • 1920- Alioa
  • 1925- Alibatizwa kule Masama
  • 1937-Alichaguliwa kuwa Nshili

1960-Alistaafu Uongozi

Ndesamburo

Watoto wa Ndesamburo (mama mkubwa) -Shilewinga(1906), Senjiaeli, Samiael(Baba yake Samson Kileo),Mwl. Onael, Shilekirwa(Magazeti),Nkanturu(ndo mtoto wa kwanza alizaliwa 1902 hakubatizwa naye kama Nsero), na Ndumaeli (mke wa Fitakyasa Natai) .

Baba mdogo

Ndesamburo-Mama mdogo

Watoto wa Ndesamburo (mama mdogo)- Shisaeli(baba yake na Terevaeli), Kaeli, Anandumi,Veraeli, Apaisaria(aliolewa kwa Nderaguso) mamaake na Shaftaeli na Ndesamburo, Elishekya,........, na Zabuloni (Mwalimu mstaafu alikaa Mtwara miaka mingi .

Baba mdogo

Vana vya Nsero

Watoto wa Nsero(mke mkubwa) - Daniel (Kwake ni Sufi njia ya kutokea Yuri), Reuben Kileo (Baba yake Jesmat), Bariki (kwake ni Nkwatuke),Elipokea (alikuwa meneja wa TANESCO Mafia, Baada ya Elipokea walizaliwa wanawake wawili (majina sikumbuki) mmoja aliolewa kwa Munuo huko Ng'uni, na mwingine aliolewa Mashua inasemekana mme wake alipata kichaa

Baba wa Bibi

Nsero

Watoto wa Nsero(mke mdogo) - Daniel (Kwake ni Sufi njia ya kutokea Yuri), Reuben Kileo (Baba yake Jesmat), Bariki (kwake ni Nkwatuke),Elipokea (alikuwa meneja wa TANESCO Mafia, Baada ya Elipokea walizaliwa wanawake wawili (majina sikumbuki) mmoja aliolewa kwa Munuo huko Ng'uni, na mwingine aliolewa Mashua inasemekana mme wake alipata kichaa

Baba wa Bibi

Watoto wa Barnaba

Mtoto wa kwanza ni Tabitha , huyu aliolewa na Babu Imbianndumi Elingaya Ndaashuka na waliishi Matikoni Ng'uni

.

Mtoto wa pili ni Rote huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa tatu ni Helena huyu naye aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa nne ni David Barnaba huyu aliishi pale sufi jirani na kanisa la Lutherani, huyu alichukua mashamba ya baba yake yale yaliyokuwa maeneo ya Lukani, Losaa na Sufi. Mzee Elinewinga akiwa Nchili alisimamia hili

.

Mtoto wa tano ni Gabriel huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa sita ni Aishi huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa saba ni Amosi huyu alishi huko Meru

.

Mtoto wa nane ni Eliasara huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa Ndewangwa huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa tisa ni Apansia huyu aliolewa huko Machame kwa Ndanshau

Mtoto wa kwanza ni Tabitha , huyu aliolewa na Babu Imbianndumi Elingaya Ndaashuka na waliishi Matikoni Ng'uni

.

Mtoto wa pili ni Rote huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa tatu ni Helena huyu naye aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa nne ni David Barnaba huyu aliishi pale sufi jirani na kanisa la Lutherani, huyu alichukua mashamba ya baba yake yale yaliyokuwa maeneo ya Lukani, Losaa na Sufi. Mzee Elinewinga akiwa Nchili alisimamia hili

.

Mtoto wa tano ni Gabriel huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa sita ni Aishi huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa saba ni Amosi huyu alishi huko Meru

.

Mtoto wa nane ni Eliasara huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa Ndewangwa huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa tisa ni Apansia huyu aliolewa huko Machame kwa Ndanshau

Tabitha Family
Familia ya Eliavinga

Fanilia ya Taramaeli

Familia ya Lord N.I.Ndashuka
N.I.Ndashuka

Familia ya Mch. Barnaba

Tabita

Rote

Helena

Aishi
Apansia

Familia ya Mwl. Anaeli