1.HISTORIA YA IMBIANNDUMI E.NDASHUKA.

1a).KUZALIWA.

Imbianndumi Elingaya Ndashuka alizaliwa mwaka 1901 huko Matikoni kwenye Familia ya Mzee Elingaya Ndaashuka Makyenja akiwa mtoto wa kwanza kabisa wa Elingaya. Huyu Mzee Elingaya alikuwa na wanawake sita na mke mkubwa ndiye mama yake na Imbiandumi. Mama yake Imbiandumi aliitwa 'Maroua'. Huyu Bibi Maroua alichukuliwa huko Kibosho wakati wa vita vya wakibosho na wamachame.Zamani hizo ilikuwa kawaida wakati wa vita kuchukua mateka. Watu kadhaa walichukuliwa kama mateka wakati wa vita, hata shangazi yake Imbianndumi (mama Boyi) alichukuliwa mateka na kupelekwa huko Arusha ambako aliolewa na kuishi huko hata sasa. .

1b)Ndoa.

Imbianndumi alifunga ndoa na Tabitha mtoto wa Barnaba Mmari Ngalami.Barnaba Ngalami aliishi maisha ya kuhama hama toka Siha akaja pande za Masama Losaa baadae Siha na mwisho aliende kuishi Meru Arusha maeneo ya Akeri ambapo familia yake iko hata sasa.

1b)Ndugu zake Imbianndumi.

Imbianndumi ana ndugu wengi kwa sababu baba yake alikuwa na wake sita. Ndugu zake waliozaliwa kwa mama mmoja yaani Watoto wengine wa Maroua ni Masika(Baba yake Ahimidiwe), Oshoseny(Babu yake Manase), Manswee(aliolewa huko Kaango) na Ndeanshikarisa(Tunaomba maelezo yake huyu taarifa zake sizioni).

1d). Familia ya Elingaya(Ndg wote wa Imbianndumi)

1.Bibi Maroua watoto wake ni---Imbianndumi, Masika, Oshoseny, Manswee(Mungomae aliolewa), Ndeanshikarisa

2. Kaaney watoto wake ni.....

3.Eshiwakwe watoto wake ni -Eliapenda (alikuja na mama ), Ndeshifwaya( “ ), Oberilin, Ezekia, Shanshaeli (mke wa Shileruywa).

4. Malaseko 1 watoto wake ni – Furaeli ,Ndenashikwa

5.Malaseko 2 watoto wake ni. Elizabeth, Mama Traeli, Apaaisaria, Kyekue, Eliona

Na kweli tumeona Bwana alimfanya kuwa mshindi kwelikweli,Haleluya! (Zab.60:12) .

Mzee Elinewinga Menda Nnyaka alimaliza safari yake mwaka 1984 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .

1 c). Ndugu zake Imbianndumi.

Eliapenda

,

Ndeshifwaya,

Oberilini,

Ezekia,

Shanshaeli,

Furaeli

Ndenashikwa,

Apaaisaria

,Kyekue,

Eliona,

na wengine.

1d). Watoto wa Imbianndumini

Eliavinga(aliolewa na Ndekirwa Elinewinga 1952 huko Lukani harusi ikifungwa huko Masama maana wakati huo kanisa lilikuwa Masama)

Taramaeli(anaishi Kware)

Hannah(aliolewa na Milliani Mushi huko Lukani)

Barnaba(huyu nyumbani kwake ni Mungomae huko Lukani, karibu kabisa alikoishi babu yake mzaa mama yaani mzee Barnaba Mmari)

Nikolaus(Nyumbani kwake aliishi Moshi mjini baada ya kuishi Arusha)

Anaeli(aliishi Moshi mjini baadae akahamia Bomang'ombe)

Immanueli(huyu alibaki nyumbani Ng'uni akimtunza bibi Tabitha)

Ndenarumishwa(aliolewa kwa Naboth huko Meru Arusha pale Chama

Isaya(huyu pia alibaki nyumbani Ng'uni).

2.HISTORIA YA WATOTO WA IMBIANNDUMI.

5.

NICOLAUS (LORD MUNUO).

Alizaliwa mwaka 193_ , ana .

1.Eliavinga

Ndio mtoto wa kwanza wa Mzee Imbianndumi akizaliwa mwaka 1931 huko Ng'uni Matikoni, alibatizwa kwa jina la Eli avinga (maanake Bwana atashinda). Alipata elimu ya msingi mpaka darasa la nne.Alifunga ndoa na Ndekirwa Elinewinga mwaka 1952 huko Masama wakijaliwa watoto 11 .

Eliavinga Imbianndumi

Taramaeli Imbianndumi

Alizaliwa mwaka 1933 Mwaka 19 alikwenda vitani (vita kuu ya kwanza ya dunia 1914-1919). Wakati wanarudi toka vitani walitembea toka (Posta) Dar es Salaam mpaka nyumbani Lukani , safari yao walianza watu 7 kwenda Moshi ni wawili tu walifika katika hiyo safari .

  • 194-19 -Alikwend
  • 1920- Alioa
  • 1925- Alibatizwa kule Masama
  • 1937-Alichaguli

1960-Alistaafu Uongozi

Hannah

Mtoto wa tatu wa Mzee Imbianndumi akizaliwa 1935, alibatizwa 193_ kwa jina la Hannah, alipata elimu ya msingi mpaka darasa la nne. Aliolewa 19_ na Millian Shangali wakijaliwa watoto .

Baba mdogo

Mch.Barnaba I.Munuo

Huyu ni Mtoto wa nne wa mzee Imbianndumi.Mchungaji na Mwalimu ni nafasi alizotumika nazo kwa nyakati tofauti akianzia na nafasi ya Ualimu huko Moshi Technical na baadae akimaliza kama Mchungaji wa sharika mbalimbali ikiwepo Lukani, Nsongoro na Lemira .

Mchungaji na Mwl. Barnaba

Ndenarumishwa

Ndenarumishwa

Isaya Imbianndumi .

Ndashuka Family

8). ISAYA IMBIANNDUMI MUNUO- Isaya Imbianndumi Munuo alisoma shule ya sekondari Lyamungo baadae alikwenda chuo cha mifugo Tengeru kabla ya kupata nafasi ya masomo ya juu huko Ulaya Mashariki katika nchi ya Romania wakati ule wa ukomonisti . Isaya alifunga ndoa na aliyekuwa mwalimu wa Machame sekondari miaka ya mapema 2000 harusi ilifungwa Bomang'ombe hai, baadae huyu Mwalimu alijiendeleza na masomo ya juu hadi kiwango cha PhD. Isaya aliacha mtoto wa kike lakini sio wa huyu mama.

3.Ndugu zake Imbianndumi.Watoto wa Elingaya

Eliapenda

,

Ndeshifwaya,

Oberilini,

Ezekia,

Shanshaeli,

Furaeli

,

Ndenashikwa,

Apaaisaria

,Kyekue,

Eliona,

na wengine.

Katika ndugu zake Babu Imbianndumi(watoto wa Elingaya) ni Mch. Oberilini peke yake aliopo kwa sasa, yeye mwenyewe anasema ni aliyebaki kwa neema tu.

4. IMBIANNDUMI AACHA UMOJA

.Imbianndumi Elinga Amaliza Safari.

Mzee Imbiandumi Elingaya Ndaashuka alifariki mwaka 1988. Mzee Imbianndumi alikuwa ameacha usia kwamba atakapokufa asipelekwa Mochwari na kweli hakupelekwa mochwari, vile vile alisema asingependa wamsahau haraka na kweli tangu wakati huo mpaka sasa zaidi ya miaka 33 watoto wake wamekuwa wakikutana hapa nyumbani Ng'uni kila mwaka mwezi wa januari.

Tabitha Family
Familia ya Eliavinga

Fanilia ya Taramaeli

Ndashuka Family
Familia ya Lord N.I.Ndashuka
N.I.Ndashuka

Familia ya Mch. Barnaba

Tabita

Rote

Helena

Aishi
Apansia

Familia ya Mwl. Anaeli