2b).Barnaba Ngalami agombana na Mangi
Barnaba alikuwa ni mtu mkorofi sana, Barnaba Ngalami alikuwa mfugaji mahiri sana kipindi hicho na mifugo ilinona sana.Kama kawaida ya ufalme (uMangi) kitu chochote kizuri ni cha mfalme(Mangi). Huwezi kula mbuzi yako nzuri iliyonona hiyo ni ya Mangi!.Chochote kizuri ni cha Mangi.Mangi alikuwa na 'Njama' wapambe. Hawa kazi yao ni kupita na kuangalia nani ana kitu kizuri na kupeleka taarifa kwa Mangi. Hawa walipita kwa Barnaba na kuona mifugo minono, walipeleka taarifa na Mangi akatuma watu kuchukua, yeye alikataa na kusema Mangi kama anataka mbuzi au ng'ombe nono afuge wa kwake.Mangi alipopelekewa hizi taarifa alikasirika sana na kutoa amri Barnaba aangamizwe na kila alichonacho.Huyu Barnaba Ngalami ni Baba yake na Bi Tabitha .Barnaba Ngalami alikuwa mfugaji mahiri sana kipindi hicho na mifugo ilinona sana. .
Mzee Imbianndumi Ndashuka alimaliza safari yake mwaka 1988 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .
2c). Mzee Elinewinga amtorosha Barnaba Ngalami
Mzee Elinewinga akiwa 'Nshili' ndiye aliyetakiwa kuongoza zoezi hilo. Lakini kabla ya zoezi kutendeka, 'Nshili' Elinewinga alimtuma kijana wake mzee Aleendwa Natai(huyu alikuwa kijana wakati huo) ampelekee taarifa hizo usiku na usiku huo huo Barnaba Mmari aliondoka na familia yake na mifugo kuelekea Siha na baadae walielekea Meru maeneo ya Sangisi ambako alinunua Boma lililokuwa tayari huko Akeri. Elinewinga na jeshi lake walipokwenda pale kesho yake walikuta Boma tupu.Mtoto wa kwanza ni Tabitha , huyu aliolewa na Babu Imbianndumi Elingaya Ndaashuka na waliishi Matikoni Ng'uni
.Mtoto wa pili ni Rote huyu aliolewa huko Meru
.Mtoto wa tatu ni Helena huyu naye aliolewa huko Meru
.Mtoto wa nne ni David Barnaba huyu aliishi pale sufi jirani na kanisa la Lutherani, huyu alichukua mashamba ya baba yake yale yaliyokuwa maeneo ya Lukani, Losaa na Sufi. Mzee Elinewinga akiwa Nchili alisimamia hili
.Mtoto wa tano ni Gabriel huyu aliishi huko Meru
.Mtoto wa sita ni Aishi huyu aliolewa huko Meru
.Mtoto wa saba ni Amosi huyu alishi huko Meru
.Mtoto wa nane ni Eliasara huyu aliolewa huko Meru
.Mtoto wa Ndewangwa huyu aliishi huko Meru
.Mtoto wa tisa ni Apansia huyu aliolewa huko Machame kwa Ndanshau
.Tabitha Barnaba alifunga ndoa na Imbianndumi Elingaya Ndaashuka wa Matikoni Ng'uni. Watoto wa Tabitha Barnaba ni Eliavinga, Hannah, Barnaba, Anaeli ,Nicolaus,Immanueli,Isaya .
Mwaka 1916 alikwenda vitani (vita kuu ya kwanza ya dunia 1914-1919). Wakati wanarudi toka vitani walitembea toka (Posta) Dar es Salaam mpaka nyumbani Lukani , safari yao walianza watu 7 kwenda Moshi ni wawili tu walifika katika hiyo safari.Aliporudi kutoka vitani alioa Bibi Elikyesia Nsero mnamo 1920 .
Watoto wa Ndesamburo (mama mkubwa) -Shilewinga(1906), Senjiaeli, Samiael(Baba yake Samson Kileo),Mwl. Onael, Shilekirwa(Magazeti),Nkanturu(ndo mtoto wa kwanza alizaliwa 1902 hakubatizwa naye kama Nsero), na Ndumaeli (mke wa Fitakyasa Natai) .
David Barnaba - Huyu ni mtoto wa kwanza wa kiume ambaye ameridhi mashamba ya Barnaba aliyoacha maeneo ya masama na sanya. David aliweka makao yake pale Sufi jirani na kanisa la lutherani .
Watoto wa Nsero(mke mkubwa) - Daniel (Kwake ni Sufi njia ya kutokea Yuri), Reuben Kileo (Baba yake Jesmat), Bariki (kwake ni Nkwatuke),Elipokea (alikuwa meneja wa TANESCO Mafia, Baada ya Elipokea walizaliwa wanawake wawili (majina sikumbuki) mmoja aliolewa kwa Munuo huko Ng'uni, na mwingine aliolewa Mashua inasemekana mme wake alipata kichaa
Watoto wa Nsero(mke mdogo) - Daniel (Kwake ni Sufi njia ya kutokea Yuri), Reuben Kileo (Baba yake Jesmat), Bariki (kwake ni Nkwatuke),Elipokea (alikuwa meneja wa TANESCO Mafia, Baada ya Elipokea walizaliwa wanawake wawili (majina sikumbuki) mmoja aliolewa kwa Munuo huko Ng'uni, na mwingine aliolewa Mashua inasemekana mme wake alipata kichaa
Mtoto wa kwanza ni Tabitha , huyu aliolewa na Babu Imbianndumi Elingaya Ndaashuka na waliishi Matikoni Ng'uni
.Mtoto wa pili ni Rote huyu aliolewa huko Meru
.Mtoto wa tatu ni Helena huyu naye aliolewa huko Meru
.Mtoto wa nne ni David Barnaba huyu aliishi pale sufi jirani na kanisa la Lutherani, huyu alichukua mashamba ya baba yake yale yaliyokuwa maeneo ya Lukani, Losaa na Sufi. Mzee Elinewinga akiwa Nchili alisimamia hili
.Mtoto wa tano ni Gabriel huyu aliishi huko Meru
.Mtoto wa sita ni Aishi huyu aliolewa huko Meru
.Mtoto wa saba ni Amosi huyu alishi huko Meru
.Mtoto wa nane ni Eliasara huyu aliolewa huko Meru
.Mtoto wa Ndewangwa huyu aliishi huko Meru
.Mtoto wa tisa ni Apansia huyu aliolewa huko Machame kwa Ndanshau
Rote
Helena
Aishi