1).Tabitha Barnaba Mmari.

Tabitha Barnaba Mmari alizaliwa mnamo mwaka 1910 katika familia yenye watoto 9 ya mzee Barnaba Ngalami.Huyu bibi alishirikiana na mme wake katika shughuli za kilimo na ufugaji. Bibi Tabitha aliwalelea watoto wake katika misingi ya kikristo ambayo iliwafanya watoto wake waishi maisha ya aina hiyo(nikiikumbuka imani uliyo nayo isiyo na unafiki ambayo ilikaa kwanza katika bibi yako, na katika mama yako, nami nasadiki wewe nawe unayo 1Tim 1:5). .

1a).Bibi Tabitha na Utumishi

Bibi alitumika sana kanisani mpaka uzeeni akiimba kwaya ya kanisa Usharika wa Ng'uni,mtoto wake wa kwanza wa kike naye aliishi maisha kama yake akiimba kwaya usharika wa Lukani na mjukuu wake wa kike naye anaimba kwaya ya usharika wa Makongo, vile vile mwaka wake wa mwisho kabla ya kufariki alifanya harambee kubwa ya ujenzi wa kanisa la Ng'uni akishirikisha familia yake na marafiki

1b). Baba yake Bibi

Babu Barnaba Ngalami ndiye baba yake na bibi Tabitha. Barnaba Mmari walikuwa wanaishi Siha na Ngalami, baba yake na Barnaba alikuwa Mangi huko Siha wakati wa vita na wakoloni alikamatwa na wakoloni wakamuawa. Barnaba ndipo alipoamua kuhama akikimbia kuelekea maeneo ya masama na mwishoni akaja kuishi hapo Lukani Losaa ambapo alifanya kazi ya ufugaji. Ufugaji wake ulikuwa wa mfano .

1c).Barnaba Ngalami agombana na Mangi

Barnaba alikuwa ni mtu mkorofi sana, Barnaba Ngalami alikuwa mfugaji mahiri sana kipindi hicho na mifugo ilinona sana.Kama kawaida ya ufalme (uMangi) kitu chochote kizuri ni cha mfalme(Mangi). Huwezi kula mbuzi yako nzuri iliyonona hiyo ni ya Mangi!.Chochote kizuri ni cha Mangi.Mangi alikuwa na 'Njama' wapambe. Hawa kazi yao ni kupita na kuangalia nani ana kitu kizuri na kupeleka taarifa kwa Mangi. Hawa walipita kwa Barnaba na kuona mifugo minono, walipeleka taarifa na Mangi akatuma watu kuchukua.

Na kweli tumeona Bwana alimfanya kuwa mshindi kwelikweli,Haleluya! (Zab.60:12) .

Mzee Elinewinga Menda Nnyaka alimaliza safari yake mwaka 1984 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .

Ndugu zake Imbianndumi.

Eliapenda

,

Ndeshifwaya,

Oberilini,

Ezekia,

Shanshaeli,

Furaeli

,

Ndenashikwa,

Apaaisaria

,Kyekue,

Eliona,

na wengine.

Yeye alikataa na kusema Mangi kama anataka mbuzi au ng'ombe nono afuge wa kwake.Mangi alipopelekewa hizi taarifa alikasirika sana na kutoa amri Barnaba aangamizwe na kila alichonacho. na usiku huo huo Barnaba Mmari aliondoka na familia yake na mifugo kuelekea Siha na baadae walielekea Meru maeneo ya Sangisi ambako alinunua Boma lililokuwa tayari huko Akeri. Elinewinga na jeshi lake walipokwenda pale kesho yake walikuta Boma tupu.Mtoto wa kwanza wa Elinewinga alikuja kuoa mjukuu wa Barnaba Ngalami. Mzee Barnaba Ngalami alimaliza safari yake mwaka 1945 na mke wake ambaye ni mama yake na Bibi Tabitha alimaliza safari yake mwaka 1989 akiwa na uzee mwema na rekodi bora kabisa .Huyu Bibi alikuwa na miaka zaidi ya 120 lakini alikuwa na uwezo wa kusafiri kwenda hata Dar es Salaam bila shida. Kimsingi huyu bibi ni miongoni wa watu walioishi miaka mingi katika kizazi chetu (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!)

---Imbianndumi -Masika -Oshoseny -Manswee….Mungomae aliolewa -Ndeanshikarisa Wamisionary walipokuja Ng'uni walipokelewa vizuri sana , kulikuwa hakuna mtu mwenye sifa ya kuwa mzee wa kanisa ndipo Vangaeli akapewa lakini baada ya kuachia mke mmoja na kumpa ndugu yake yeye akabakia na mke mmoja badala ya wawili aliokuwa nao awali. Vangaeli akawa mzee kiongozi wa Ng'uni

Tabitha

Watoto wa Tabitha Barnaba ni Eliavinga,Taramaeli, Hannah, Barnaba, Anaeli ,Nicolaus,Immanueli,Isaya na Ndenarumishwa .

Tabitha Barnaba Mmari

Rote Mmari

Rote aliishi Meru na kuolewa huko Meru kwa .

  • 1916-1919 -
  • 1920-
  • 1925-
  • 1937-

1960-

Helena

Helena Mmari alizaliwa mwaka 19... aliolewa kwa...... huko Meru.

Helena B. Mmari

David Barnaba Mmari

David Barnaba Mmari -Huyu ndiye aliyarithi mashamba yote ya Baba yake aliyoyaacha Lukani na Losaa. David Barnaba aliishi pale Sufi karibu na kanisa la Lutherani.David wakati wa uhai wake alijishughulisha na kilimo na ufugaji kama baba yake. .

Baba mdogo

Gabriel na Amosi

Gabrieli na Amosi ni watoto wengine wa kiume baada ya David. Hawa waliishi huko Meru Akeri

Gabriel na Amosi

Aishi na Eliasara

Aishi aliolewa huko Machame kwa Ndanshau. Aishi aliishi Machame na baadhi ya watoto wake wakiishi Dar es Salaam hata sasa. Eliasara yeye aliolewa huko Meru kwa Kaaya.

Aishi na Eliasara

Watoto wa Barnaba

Mtoto wa kwanza ni Tabitha , huyu aliolewa na Babu Imbianndumi Elingaya Ndaashuka na waliishi Matikoni Ng'uni

.

Mtoto wa pili ni Rote huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa tatu ni Helena huyu naye aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa nne ni David Barnaba huyu aliishi pale sufi jirani na kanisa la Lutherani, huyu alichukua mashamba ya baba yake yale yaliyokuwa maeneo ya Lukani, Losaa na Sufi. Mzee Elinewinga akiwa Nchili alisimamia hili

.

Mtoto wa tano ni Gabriel huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa sita ni Aishi huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa saba ni Amosi huyu alishi huko Meru

.

Mtoto wa nane ni Eliasara huyu aliolewa huko Meru

.

Mtoto wa Ndewangwa huyu aliishi huko Meru

.

Mtoto wa tisa ni Apansia huyu aliolewa huko Machame kwa Ndanshau

Tabitha Family
Familia ya Eliavinga

Fanilia ya Taramaeli

Familia ya Lord N.I.Ndashuka
N.I.Ndashuka

Familia ya Mch. Barnaba

Tabita

Rote

Helena

Aishi
Apansia

Familia ya Mwl. Anaeli