1.UTANGULIZI.
1a).Baba yake Bibi Elikyesia.
1b).JE BABA YAKE BIBI ALIBATIZWA?
1c).NKANTURU
Nkanturu alikuwa mtoto wa kwanza wa Ndesamburo (mdogo wake na Nsero) . Nkanturu ni dada yao na Mzee Shilewinga Kileo , Samiaeli Kileo , Onaeli Kileo . Nkanturu alizaliwa 1901 naye alikataa kubatizwa kama Nsero.Na kweli tumeona Bwana alimfanya kuwa mshindi kwelikweli,Haleluya! (Zab.60:12) .
Mzee Elinewinga Menda Nnyaka alimaliza safari yake mwaka 1984 akiwa na uzee mwema wa miaka 114 na rekodi bora kabisa (Nndumi Narumishwa Nde na Ma!) .
Alesikwa, Veraumangi , Elifera, mama yake na Apaeli, Shanaeli(aliolewa Ng'uni kwa Mwise).
Nkanturu (alizaliwa 1901 aliolewa Siha kwa Ngalami, hakubatizwa kama Nsero) ,Shilewinga,Senyiaeli,Samiaeli,Onaeli,Shilekirwa,Ndumaeli(mke wa Fitakyasa Natai)
2c(ii)Watoto wa mke mdogo .
.Shisaeli, Kaeli,Anandumi,Veraeli,Apaisaria (aliolewa kwa Nderanguso- watoto wake ni Ndesamburo, Shiftaeli wa Nkwatuke na wengine),Elishekya (Huyu aliolewa kwa Siao-Pendaeli), Zabuloni (Huyu alikuwa mwalimu kwa miaka mingi huko Mtwara) .
Alesikwa ni Babu yake na Godluck Kileo (Shekiland).Kwa Alesikwa ni jirani na kwa Bakari, ni jirani pia na Baba mdogo Allen.Alesikwa alifariki kwenye miaka ya 80
Veraumangi - aliishi Urereny ni Babu yake na mke wa Olav
Elifera - Kwake ni Pale Shule ya msingi lukani
Watoto wa Nsero(alikataa kubatizwa akasema haoni tofauti yoyote na waliobatizwa). Nsero alikuwa na wake wawili . Watoto wa mke mkubwa ni Elikyesia, Salome(aliolewa Ng'uni kwa Anamwikira mtoto wao anaitwa Sarieli ambaye mke wake aliwahi kuwa mbunge, mtoto mwingine wa Nsero ni Nkangeresa(Huyu aliolewa huko Kashashi), anayefuata ni Elia(Baba yake Elisaa, David na Askari mstaafu anayeishi Sanya juu), toka Elia anayefuata ni Abraham wa Masaini(watoto wake ni Festo na Veraufoo).
Mwaka 1916 alikwenda vitani (vita kuu ya kwanza ya dunia 1914-1919). Wakati wanarudi toka vitani walitembea toka (Posta) Dar es Salaam mpaka nyumbani Lukani , safari yao walianza watu 7 kwenda Moshi ni wawili tu walifika katika hiyo safari.Aliporudi kutoka vitani alioa Bibi Elikyesia Nsero mnamo 1920 .
Watoto wa Ndesamburo (mama mkubwa) -Shilewinga(1906), Senjiaeli, Samiael(Baba yake Samson Kileo),Mwl. Onael, Shilekirwa(Magazeti),Nkanturu(ndo mtoto wa kwanza alizaliwa 1902 hakubatizwa naye kama Nsero), na Ndumaeli (mke wa Fitakyasa Natai) .
Watoto wa Ndesamburo (mama mdogo)- Shisaeli(baba yake na Terevaeli), Kaeli, Anandumi,Veraeli, Apaisaria(aliolewa kwa Nderaguso) mamaake na Shaftaeli na Ndesamburo, Elishekya,........, na Zabuloni (Mwalimu mstaafu alikaa Mtwara miaka mingi .
Watoto wa Nsero(mke mkubwa) - Daniel (Kwake ni Sufi njia ya kutokea Yuri), Reuben Kileo (Baba yake Jesmat), Bariki (kwake ni Nkwatuke),Elipokea (alikuwa meneja wa TANESCO Mafia, Baada ya Elipokea walizaliwa wanawake wawili (majina sikumbuki) mmoja aliolewa kwa Munuo huko Ng'uni, na mwingine aliolewa Mashua inasemekana mme wake alipata kichaa
Watoto wa Nsero(mke mdogo) - Daniel (Kwake ni Sufi njia ya kutokea Yuri), Reuben Kileo (Baba yake Jesmat), Bariki (kwake ni Nkwatuke),Elipokea (alikuwa meneja wa TANESCO Mafia, Baada ya Elipokea walizaliwa wanawake wawili (majina sikumbuki) mmoja aliolewa kwa Munuo huko Ng'uni, na mwingine aliolewa Mashua inasemekana mme wake alipata kichaa
Watoto wa mke mkubwa ni Elikyesia, Salome(aliolewa Ng'uni kwa Anamwikira mtoto wao anaitwa Sarieli ambaye mke wake aliwahi kuwa mbunge, mtoto mwingine wa Nsero ni Nkangeresa(Huyu aliolewa huko Kashashi), anayefuata ni Elia(Baba yake Elisaa, David na Askari mstaafu anayeishi Sanya juu), toka Elia anayefuata ni Abraham wa Masaini(watoto wake ni Festo na Veraufo
.Nke wa Pili - Daniel (sufi),Reuben(Nkwatuke),Bariki(Nkwatuke),Elipokea(TANESCO-Mafia),Mama (aliolewa Ng'uni),mama(aliolewa Mashua)
Senjiaeli
Samiaeli
Shilekirwa